johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kazi kugonga meza na kupitisha kila kitu. Wamepitisha budget kandamiziMmekabidhi mustakabali wenu kwa kina Babu Tale, Musukuma na na Gwajima.
Na Nusrat Henje, Halima Mdee na Esther Bulaya!Mmekabidhi mustakabali wa taifa kwa kina Babu Tale, Musukuma na na Gwajima.
Bunge la ccm limekua kama kikao cha kikoba.
Hawa ni hewa zingineNa Nusrat Henje, Halima Mdee na Esther Bulaya!
Kuna tofauti kati ya kodi na tozo bwashee!Tunalipa kodi. 3% ya watanzania ndio waliokuwa wanalipa. Sasa hii ndio dawa yetu
Wengine kazi yao kudai serikali inawepe maendeleo. Hela za maendeleo zitatoka wapi? n
Naamini kile kipindi kimepita. Kwa kweli ingawa bunge ni live hamu sinaNapendekeza 2025
Vyama vyote vya upinzani visiingie kwenye uchaguzi.
Wapite tu bila kupingwa,kwani hata wakiingia wapinzani hoja zao huzuiliwa nakufungiwa ubunge.
Vyama vibaki kutoa elimu kwa wananchi
Hahahaaaa!! Lisu, Mnyika na Zitto ni sawa na bunge zima bwashee!Bwashee wewe ndio uliwadhihaki na kuwapinga
Watu mkiishiwa hoja huwa mnaandika vituko sana. Ndugu si ukubaliane tu kuwa hapa CCM mmevuruga sana na wapinzani hawapo kabisa? Kwani bajeti inasomwa mitaani au Bungeni?Wapinzani walitengeneza diversion ya hili jambo kwa kujua au kutojua.
Hata kama wapo nje ya Bunge lakini bado wakati haya yakifanyika Bungeni wao waliwekeza nguvu na muda kudai Katiba Mpya...