Pre GE2025 Pengo la Nape, Makamba na Kinana ni kama bado halijazibika

Pre GE2025 Pengo la Nape, Makamba na Kinana ni kama bado halijazibika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Au nasema uwongo ndugu Zangu

Wale Wazee wa mipango pengo lao halijazibika ndio unawaona akina Maria na Mwabukusi wanatamba tu huko Ngorongoro

Mlale Unono 😀😀

Kuna wakati mambo ya maisha yanalazimu kuwa na misimamo migumu. Mwambukusi amesababishaje wamasai kudai wanaonewa?
Labda kuna lisilojua au kulielewa
 
Sasa ndio wapenyeze vihela pale wasafi na e-fm eti waiseme serikali vibaya, tunawangalia tu wanavyojisemeleza, kila mtu atauvhukua mzigo wake mwenyewe
 
Makamba will never be..Nape will never be..Kuna watzanzania mil 70. Mtafute kazi nyingine
 
Back
Top Bottom