PENGO LA WAWA

LDA COMPANY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
340
Reaction score
622
Habari ndugu.

Kilichoiponza leo simba kwa upande wangu mi naona ni kitendo cha kuumia Pascal Wawa. Jamaa kama asingetoka nadhani leo mazembe wangepigwa mengi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna pengo la wawa jana alichokifanya ni kujivunja ili atoke baada ya kuoona shughuli nzito na tayari kashafanya makosa mwanzoni nyoni anambeba tu ila ni wa kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nashangaa ni kwa nini simba huwa hatupendi kumtumia juuko murshid
Yule jamaa ni agressive na anafaa kuwatisha washambuliaji wasumbufu Wawa ni mzito mno afu sio mkabaji mzuri hayuko aggresive, kutoka kwake ilikua faraja sana maana kama angeendelea lazima wale jamaa wangepata hata goli moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…