Naomba maoni yenu wanajamvi.
Hivi peni na penseli ni maneno fasaha ya (pen) na (pencil)? Kuna neno Kalamu hutumika kumaanisha hivyo vitu viwili. Peni huwa ni kalamu ya wino na penseli ni kalamu ya mti(sina hakika na ya pili lakini). Msaada tafadhali.