Peniela (Story ya kijasusi)

Mkuu ulikuwa nje ya nchi au mbona tushafunga mjadala.Peniela ni Mrs Mathew sasa
Tulimpa one week ya kupumzika baada ya kumaliza Peniella.Aje na story mpya sio hii ya Peniella
 
thanks LEGE

nmewakuta na nimewapita í ½í¸Ší ½í¸Ší ½í¸Ší ½í¸Š
 
Peniela wewe mbona hivyo .....LEGE najua utaweka tena kesho nakusubri kwa hamu !!! Je kirusi kitatua mikononi mwa Mathew?? Hili ni swali ambalo linasumbua kichwa changu ila LEGE atanipa majibu
Methew ameoneshs n mchunguz asiyefuata kanuni moja ya ujasusi
Nadhan ni ili lengo la mtunzi litimie
NEVER TRUST NEVER
first principle na last principle
TRUST GET U KILLED
ambayo methew inamtesa na kuonesha muvi iwe ndefu
Ktk medan hiz
Methew kakosea sana
 
Mathew alikosea mashart ya kasha
Alia mbiwa hakikisha peniela anafungua kasha ukiwepo but kamwachia mwebyewe kila kitu pia kwa medan hiz methew hakupaswa kumpa disk mapema


But sasa tunamuandika bsana methew kuliko peniela
 
Aisee, nimesoma riwaya nyingi ila hii ni mwisho. Lakini kuna baadhi ya aya maneno yake hayako saw. Pia mwisho wa riwaya umetuacha na maswali mengi.
1. Edson ameonekana kama chanzo cha stori na wazazi wake kuingia kwny mchakato wa kujua chanzo cha kifo chake. Lakini story haijaonesha kama wamepata feedback kutok kwa Mathew.
 
Uchaguz pia ilikuwa hot matter but hujatuambia nani atakuwa rais
Remind me please
 
Katika coments zote baada ya tamati hakuna aliyetaja ufundi ktk hotuba ya makamu wa rais
Kiukwel
Ilijaa uzalendo, mantiki ya Tanzania tuitakayo

Asante mungu kwa kipaj hiki kwa ndugu yang huyu mwandish
 
Hii story itabaki kuwa kumbukumbu akija na story nyingine amweke methew kama main character, ili kuwe na muendelezo wake,

Kunastory nyingi ila hii lege umefunika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…