Peniela (Story ya kijasusi)

damn hii stuff IPO vizuri. Natumaini Mkuu LEGE unamaanisha SAA 2:00 ya asubuhi right?
 
Sipati picha jinsi mabint wa Kibongo watakavyokuwa wakitoa papuch kama mkono wa salaam ili tu wafanane na Peniela!!
Japo hawana mission yoyote ile lakini wao watakua wakigawa tu kama Peniela, ili mradi kujiringanisha Naye.

Aisee, kwa nini unawagusa hivyo dada zetu bana? Ila ulichokisema kina kaukweli ndani take maana Hawa dada zetu nao kwa kucopy na ku paste hawajambo! Ngoja tusubiri akina Penny fake..
 

[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mwandishi ana story nzuri sana lakini tatizo ipo kwenye kurudia rudia sana matukio, alipaswa kuepusha hili ili aweze kuteka zaidi attention za wasomaji wake
 
Mwandishi ana story nzuri sana lakini tatizo ipo kwenye kurudia rudia sana matukio, alipaswa kuepusha hili ili aweze kuteka zaidi attention za wasomaji wake
Kiundishi yupo sahihi, maana anaiwasilisha kama tamthiria, na kama angeiwakilisha kama story angefupisha na angekuwa anatoa taarifa kwa kutumia nafsi daraja 3,,

Hvyo yupo sahihi ili kuleta radha, kukufanya uwe sehem ya tamthiria na kupata uhalisia, kumbuka hii ni series,

Kama uliwahi kusoma vitabu vya willy gamba utajua ninachozungumzia,
 
Kuna watu sijui ni utoto au ujinga unawasumbua kwani lazima uqote bila kuccoment?
 
Ni kweli unachosema kwamba yupo sahihi lakini inaweza kuwa sio sahihi vile vile. Msomaji anaona kama anayarudia yale yale hivyo inamboa. Kwa hiyo logic yako ni iwe ndefu yenye marudio au iwe fupi yenye kuleta mtiririko wenye kuvutia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…