Peniela (Story ya kijasusi)

Pamoja na ujijga wa Dr joshua ila anapanga mambo yake kisayansi
Dr. Joshua yupo vizuri ila shida ya ni kuwaamini sana watu ambao baadae wana mzunguka. Ila yupo vizuri sana kimikakati
 
Dah atimae nimefika ....tutaenda sambamba sasa loh hadithi hii inadatisha kinoma
Ila eli sina neno la kusema
 
Duh..kwa hiyo LEGE hapa mpaka lini/saa ngapi mkuu?

CC @mamboπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu kwakweli this is very serious issue dah.LEGE tumekupandisha chati alafu unajibweteka tutakutumbua very soonπŸ™„πŸ˜±πŸ™„πŸ™„πŸ™
 
Mpaka nimeisahau story dah LEGE .....but why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…