Penny arudi kwa kishindo kwa kuachia picha zikionesha maungo yake

Penny arudi kwa kishindo kwa kuachia picha zikionesha maungo yake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Baada ya kuwa kimya katika akaunti yake ya instagram, Penny ambaye ni mtangazaji wa kituo cha DTV kilichopo Dar, amerudi kwa kasi katika mtandao huo baada ya kuachia picha yenye mitego ikionesha kitovu chake, tazama hapo chini picha hiyo
 
hivi hizo nguo wanatembeaga nazo mtaani. au wanapigia picha tu
 
Aisee mi girlfriend wangu hawezi kupiga nguo kama hizo,yaani nimwone tu namwandikia waraka wa kibuti kwenye toilet paper niliyotumia

hahahahahahha, hii ngumu kumesa mkuu.
Wanaume wakiwa na misimamo kama hii, basi dunia itakuwa a better place to live lol
 
hahahahahahha, hii ngumu kumesa mkuu.
Wanaume wakiwa na misimamo kama hii, basi dunia itakuwa a better place to live lol

Sasa kama ni wako nani anamwonyeshea kitovu tena na ili iweje
 
Me sijawahi kumuona huyu dada kapendeza.
 
Naona alama za Wollper Tumboni !
Sijui imekuwaje !
 
Hata hapendez japo siku hiz anajitahidii kidogoooo
 
halafu aisee mbona unafahamu maisha ya mastaz wengi,we utakuwa msanii au una ukaribu nao sana

aku nayajulia humu humu tu ndugu si fahamu star hata mmoja au kuwa karibu nae bongo hii.
 
Aisee mi girlfriend wangu hawezi kupiga nguo kama hizo,yaani nimwone tu namwandikia waraka wa kibuti kwenye toilet paper niliyotumia

Safi sana,kwa mtu mwenye heshima hawezi tupia huo upuuzi,huyo yupo kwenye matangazo
 
Biashara asubuhi jioni mahesabu bei ya mkaa imepanda
 
Back
Top Bottom