Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Aisee mi girlfriend wangu hawezi kupiga nguo kama hizo,yaani nimwone tu namwandikia waraka wa kibuti kwenye toilet paper niliyotumia
hahahahahahha, hii ngumu kumesa mkuu.
Wanaume wakiwa na misimamo kama hii, basi dunia itakuwa a better place to live lol
Aisee mi girlfriend wangu hawezi kupiga nguo kama hizo,yaani nimwone tu namwandikia waraka wa kibuti kwenye toilet paper niliyotumia
halafu aisee mbona unafahamu maisha ya mastaz wengi,we utakuwa msanii au una ukaribu nao sanahahhahhahha umenifanya nicheke lol!
Hata hapendez japo siku hiz anajitahidii kidogoooo
Karibu tena nilikumiss bidada
Sasa kama ni wako nani anamwonyeshea kitovu tena na ili iweje
halafu aisee mbona unafahamu maisha ya mastaz wengi,we utakuwa msanii au una ukaribu nao sana
Aisee mi girlfriend wangu hawezi kupiga nguo kama hizo,yaani nimwone tu namwandikia waraka wa kibuti kwenye toilet paper niliyotumia