Penny: Natamani mtoto, sina wa kuzaa nae

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ' Diamond ' Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume wa kuzaa naye. Penniel Mwingilwa.

Penny alitoa tamko hilo baada ya Diamond kunukuliwa jana ( Alhamisi ) na gazeti dada la hili, Amani kuwa , alimpa mimba mara mbili binti huyo lakini zikayeyuka katika mazingira ya kutatanisha. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Penny alisema, sasa hivi anapomuona mtoto anachanganyikiwa na kujikuta akitamani naye kuitwa mama hivyo akimpata mwanaume sahihi wa kutimiza ndoto yake hiyo hatafanya ajizi. "Kiukweli sasa ndiyo ule wakati wa kuzaa, natamani sana mtoto lakini sasa wa kuzaa naye yuko wapi? Hapo ndiyo tatizo maana siyo kuzaa na mtu ili mradi mtoto awe na baba, " alisema Penny .
 

Attachments

  • 1419013050401.jpg
    51 KB · Views: 1,528
Mmmh. Si alivishwa pete huyu? Aliyemvisha hafai kumzalisha ama
 
pete alijivisha mwenyewe..
juzi kamegwa na robby choon-club..hiki kidemu nuksi kweli
 
maskiniiii hadi nimemuonea imani, kwahiyoo??? ile pete alijivisha kama njia ya kupunguza stress za kuachwa na almasi??? mi nikajua kweli kachumbiwa??? poor her!! penny mdogo wangu kupata mume karne hii maombi yanahitajika sanaaaaaaaaaa!!! omba sana Mungu akufunulie, alafu huu ni ushauri wa bure kwako, kama kweli unatamani kuolewa achana na maisha ya location, hujui tuu ile fake ring uliojivalisha imekutia nuksi kiasi gani hujui i tell you.
 
Akubali tu watu wampige mimba alee mwana, mume sasa hivi hapati.
 

Tena alisema atamwalika almasi kutumbuiza kwenye Harusi
Lol mbombo ngafu
 
njoo kwangu we mtoto nikupe hiyo kitu alafu nakumbuka ulichumbiwa vp tena jamaa kala mzigo alafu kasepa kama ndomo?
 
Tatizo kujifanya wao watoto wa mjini kwa sana ndo kunakowaponza,mtoto kama huyu sio wa kukosa wa kumsitiri.
 
Rangi yake huwa inanichanganya!!mara awe mwekundu kama kidongo cha mfinyanzi,mara njano kama papai,mara brown kama kinyago cha ntwara,mara mweupe pee kama mwarabu!!all in all too much 'lokosheni'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…