Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Kingkessy yule bwa bwa au mwingine??
hivi hili jina la mama ubaya chanzo chake nini
alinyoaga para kichwa chake kipo km baba ubaya
Elimu kukosa ni janga ndo mana wanaendekeza ushirikina kuna mmoja maarufu sana amemfanya mamake mke kama masharti ili afanikiwe kwenye mambo yake inasikitisha sana hadi mama kisa mafanikio
Wanatembea kama nyumbu!ha ha ha,wananikumbusha primary jamani...nna mashaka three some itakua inahusika mara kwa mara!Hahhaaaaaa uwiiiii hawa ni zaidvya manyumbu we acha tu sie tuchek muvie litakavoisha, eti best friends????? My foot! Hizi bongo celebrity ush.u.z ni brainless kabisaa
Haya masharti ya waganga yananipa raha!hasira zao ndo wanabaki kufumua marinda ya akina dada!Kingkessy yule bwa bwa au mwingine??
Uwiiiiii shoga itabidi nikutafute chemba unipe huu umbea
Shogaaa we njoo chemba nikupe huo ubuyu matata nimeupata somewhere nilipoupata ngachoka kabisa