Siasani ndio kuna hela huko kwingine ni kama Watumishi wa kawaida tu.Tuchukulie Profesa amefundisha pale jalalani Kwa uaminifu miaka yote.
1. Akistaafu anapata Kiasi gani cha pensheni?
2. Inachukua miaka mingapi kuupata huo uprofesa?
3. Je baada ya kustaafu anaweza kumudu maisha Kwa kutegemea pensheni au ndo anageuka kero Kwa kuomba omba?
NB: wasomi tujuzeni sisi Ngombaru ili tuchague kipi cha kufanya kama tuendelee kusomesha watoto au wafanye ujasiriamali tu.