A
Anonymous
Guest
Mimi ni mtoto wa marehemu ambaye alikuwa mwanachama wa NSSF amefariki akiwa na umri wa miaka 57 lakini alikuwa bado hajastaafu.
Marehemu hakuwa na mume, na wazazi wake wote wawili walishafariki na sisi tupo wawili, lakini wote tuna miaka zaidi ya 25.
Nimeenda kudai mafao NSSF Ilala, nimeambiwa kwa mujibu wa muongozo waliopewa kuanzia mwaka jana 2023, mafao ya marehemu yanatolewa tu kwa Mwenza wa marehemu, watoto wa marehemu wenye miaka chini ya 18 au kwa mwenye miaka chini ya 21 kama anasoma na kwa wazazi tu.
Kwakuwa sisi warithi wote tunazaidi ya miaka 21 hatuwezi kupewa na kwakuwa marehemu hajaacha mume wala wazazi basi hela yake hawezi kupewa mtu.
Je, hii taarifa ni ya kweli?