Mkuu Informer Ebu Tafuta kuna movie imetoka this February inaitwa The ROBOCOP kuna kila kitu humo na stage ya invetion ilipofikia na maeneo ambayo wanakwama wamarekani kukamilisha hiyo misheni ya robots in war.
KADRI TEKNOLOJIA ,ELIMU NA MAENDELEO VINAVYOONGEZEKA, NDIVYO UTU UNAZIDI KUPUNGUA. Naamini wote tunajuwa kuwa yote hayo si kwa ajili ya kuwinda wanyama! All for Human being.