Direct SNI kama ha tunnel ni chache sana zinazopita,
Ukijua response ya host method jaribu kutumia websocket, angalia majibu unayoipata ndio utaona kama urotate au utumia V2Ray,Xray.
Ukiweza kuconnect kama haikupi data Kwa v2ray ndio unaangalia mbadala wa kupiga script kwenye VPS