Penthouse juu ya nyumba ya wapangaji yawa Kivutio nchini Kenya

Penthouse juu ya nyumba ya wapangaji yawa Kivutio nchini Kenya

NYASI-MSESE

Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
31
Reaction score
60
Mama mmoja kutoka Kenya, ameonekana kuwavutia watu wengi nchini humo baada ya kuja na design ya kujenga nyumba yake ya kuishi juu ya nyumba ya wapangaji wake (landlord amekalia tenants).

Mama huyo ambae ni nurse kwa taaluma anaefanya kazi USA aliamua kuja na hio idea ambapo baada ya kumshirikisha builder wake ambaye alimuhakikishia kwamba design hio inawezekana kufanyika.

Anasema wakati huo alikuwa na plot moja hivyo ili kumaximise space aliamua kuja na wazo hilo iconic la kujenga nyumba ya chini kwa ajili ya wapangaji wake (apartment) na juu yake ni nyumba ya kuishi yeye (Penthouse) ambapo azma yake ilifanikiwa ndani ya miaka 4.

Nyumba hio iliopo maeneo ya Zimmerman ime-trend sana nchini Kenya.

Je, tutarajie kuona nyumba kama hii hapa Tanzania?

1696876613115.png
 
Back
Top Bottom