Mr possibility
Senior Member
- Mar 19, 2020
- 175
- 134
Salam wadau wa JF
Lengo kuu la thread ni kuomba ushauri Pamoja na msaada wa kimawazo ikiwezekana..
Ni kuwa mimi niko kwenye harakati za kufanya Muziki(baadhi ya wadau ambao wamepata kunisikiliza wananipa moyo sana kuwa muziki nauweza ukianzia kwenye uandishi wa nyimbo..nk)
Tatizo ni kuwa pakuanzia ndio kikwazo hasa ukizingatia maproducer wengi hapa bongo cha kwanza kinachoangaliwa ni fedha na mimi kwasasa siko vizuri kiuchumi.
Hivyo kama utakuwa na msaada(sio wa kifedha) naam nauhitaji wakuu...mfano connection nk
Natanguliza shukrani🙏🙏🙏