Mr possibility
Senior Member
- Mar 19, 2020
- 175
- 134
mkuu wekeza hapo kipaji kisipoteeWeka link ya ngoma yako hata moja nione namna ya kukusaidia.kuna jamaa angu ni producer anafanya kazi BICON STUDIO, so kama vipi tochonge tu kama upo serious
kazi kwake kijana kama anakipaji kweli!!mkuu wekeza hapo kipaji kisipotee
. Aminakazi kwake kijana kama anakipaji kweli!!
Mkuu bado sijatoa ngoma yoyote sure niko seriousWeka link ya ngoma yako hata moja nione namna ya kukusaidia.kuna jamaa angu ni producer anafanya kazi BICON STUDIO, so kama vipi tochonge tu kama upo serious
Mkuu yote uliyoandika yana ukweli na nimeshafikira kuhusu hilo hivyo nitapambana kuepukana nalo