Penye umaskini ndipo utasikia mitizamo mingi ya kishirikina

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
PENYE UMASKINI NDIPO UTASIKIA MITIZAMO MINGI YA KISHIRIKINA.

Kuna sababu nyingi za watu kuwa washirikina na kati ya sababu hizo umaskini ni moja wapo.

Umaskini wa mawazo na kifedha ni sababu kubwa sana nyuma ya washirikina.

Kwenye umaskini ndio utasikia wengi wakianguka mapepo, kulalamika wameibiwa nyota na matukio mengi ya kutafuta utajiri kupitia damu za watu.

Umaskini ukikomaa humfanya mtu aamini kuwa hakuna utajiri wa juhudi bali atamuona kila tajiri ni mshirikina hivyo naye ataanza kutafuta huo ushirikina ili awe tajiri.

Maskini hata ugonjwa wa kawaida kwake ataona karogwa, matokeo ya uzembe wake ataona kama kuna mtu kamuibia nyota yaani akili yake muda mwingi inakuwa inafikiria tu ushirikina.

Jaribu kuwasikiliza wazee zaidi ya watano maskini nina uhakika wengi wao watahusisha umaskini wao na ushirikina kama hawatakwambia wamerogwa basi watakwambia utajiri ni dhambi.

Umaskini ni janga lingine kubwa sana ambapo kama wapambanaji tulione kama tatizo la msingi kuliondoa hata watoto wetu waanzie kwenye hatua moja mbele.

#Mwanasayansi Saul kalivubha.
fikia ndoto zako.
 
Uchawi ni dhana inayobeba maudhui ya husda. Husda inameki sensi sana kwenye kupata na kukosa.. hasahasa pale ambapo upande wa "kukosa" kuwa mzito kwenye mizani.

Kwa muktadha huu uchawi na husda havitengani. Ukizungumzia husda unazungumzia kukosa/kupinga maendeleo
 
Kabisa.
 
Umenyoosha sana mkuu
 
Ukitaka kujua Kama umasikini na uchawi ni ndugu wa baba mmoja basi ukae huku uswahili. Fungua duka, pambana usiku na mchana, wakiona umeaza kufanikiwa watasema yule jamaa ni mchawi. Hawajali hustle ambazo umezifanya mpaka duka linasimama.
 
PENYE UMASKINI NDIPO UTASIKIA MITIZAMO MINGI YA KISHIRIKINA.

Kuna sababu nyingi za watu kuwa washirikina na kati ya sababu hizo umaskini ni moja wapo.

Umaskini wa mawazo na kifedha ni sababu kubwa sana nyuma ya washirikina.

Kwenye umaskini ndio utasikia wengi wakianguka mapepo, kulalamika wameibiwa nyota na matukio mengi ya kutafuta utajiri kupitia damu za watu.

Umaskini ukikomaa humfanya mtu aamini kuwa hakuna utajiri wa juhudi bali atamuona kila tajiri ni mshirikina hivyo naye ataanza kutafuta huo ushirikina ili awe tajiri.

Maskini hata ugonjwa wa kawaida kwake ataona karogwa, matokeo ya uzembe wake ataona kama kuna mtu kamuibia nyota yaani akili yake muda mwingi inakuwa inafikiria tu ushirikina.

Jaribu kuwasikiliza wazee zaidi ya watano maskini nina uhakika wengi wao watahusisha umaskini wao na ushirikina kama hawatakwambia wamerogwa basi watakwambia utajiri ni dhambi.

Umaskini ni janga lingine kubwa sana ambapo kama wapambanaji tulione kama tatizo la msingi kuliondoa hata watoto wetu waanzie kwenye hatua moja mbele.

#Mwanasayansi Saul kalivubha.
fikia ndoto zako.
hata huyo tajiri namba moja duniani utasikia ni member wa one of the secret society . huo si ushirikina?
tuliza komwe, ushirikina aka uchawi upo kila mahali
 
Inashangaza sana mtu aliye na fikra na mawazo kama hayo.

Mwezi huu wote wa Kumi, wazungu kwa mitazamo yao, watawashirikisha watoto zao kwenye mambo ya Ushirikina. Wenyewe wanaita Halloween.

Kwa Umasiki wao wa Fikra.?

Ushasikia wapi Tanzania kuna watu wanasheherekea Uchawi?
 
PENYE UMASKINI NDIPO UTASIKIA MITIZAMO MINGI YA KISHIRIKINA.

Kuna sababu nyingi za watu kuwa washirikina na kati ya sababu hizo umaskini ni moja wapo.

Umaskini wa mawazo na kifedha ni sababu kubwa sana nyuma ya washirikina.

Kwenye umaskini ndio utasikia wengi wakianguka mapepo, kulalamika wameibiwa nyota na matukio mengi ya kutafuta utajiri kupitia damu za watu.

Umaskini ukikomaa humfanya mtu aamini kuwa hakuna utajiri wa juhudi bali atamuona kila tajiri ni mshirikina hivyo naye ataanza kutafuta huo ushirikina ili awe tajiri.

Maskini hata ugonjwa wa kawaida kwake ataona karogwa, matokeo ya uzembe wake ataona kama kuna mtu kamuibia nyota yaani akili yake muda mwingi inakuwa inafikiria tu ushirikina.

Jaribu kuwasikiliza wazee zaidi ya watano maskini nina uhakika wengi wao watahusisha umaskini wao na ushirikina kama hawatakwambia wamerogwa basi watakwambia utajiri ni dhambi.

Umaskini ni janga lingine kubwa sana ambapo kama wapambanaji tulione kama tatizo la msingi kuliondoa hata watoto wetu waanzie kwenye hatua moja mbele.

#Mwanasayansi Saul kalivubha.
fikia ndoto zako.
Uko sahihi kabisa. Na ukweli ni kwamba chanzo cha umaskini wa mali ni umaskini wa akili. Tanzania hili tatizo linatufuna.
 
Back
Top Bottom