Penye wengi pazuri

Karibuuuuuuuuuu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Japo mimi sio mlevi lakini kule kwetu KILIMANJARO mgeni akifika MBEGE ni ya kufikia.sijui hapa jamvini mnakunywaga nini?
 
Japo mimi sio mlevi lakini kule kwetu KILIMANJARO mgeni akifika MBEGE ni ya kufikia.sijui hapa jamvini mnakunywaga nini?

Humu hamna walevi, maji ndio kinywaji chetu. Kwa afya bora, maji ni uhai.
 
Karibu sana, Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tubadilishane mawazo. Sasa mbona uko mikono mitupu au ndo umeshamaliza zawadi zote? Si unajua mgeni njoo mwenyeji apone!
 
Duh! Togwa?bora hayo maji ambayo ni uhai na bora kwa afya.ila hili jamvi ni elimu kwa umma kama tutaelimishana asanteni
 
Ndugu yangu kipindi hiki ni cha kulipa ada,kodi za nyumba n.k labda tusaidiane kulipa madeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…