...Kweli kabisa...Dr. mzuri sana kwa matatizo ya mifupa...But namshauri awe muwazi tu kuwa alikung'uta nyeto kwa muda mrefu then aendelee....!!Kuna daktari maarufu kule Kibaha anaitwa Dr.Bake nakushauri ukaonane naye
Hahahahaaa! Unaogopa jamaa atakupa ushauri hasi siyo? Tukirudi kwenye mada, sidhani kama penzi binafsi lina side effect kama hiyo bali cha muhimu jitahidi kufanya mazoezi ya mgongo. Pia kitu unachukuwa unakitumia ofisini kakwo kinaweza kuwa kinachangia mgongo kuuma hivyo jaribu kubadilisha mazingira ya ukaaji wako. Halikadhalika uwe unajipa mapumziko ya mara kwa mara kama kusimama na kunyoosha nyoosha mgongo ili uusaidiie kurilaksi unapokuwa ofisini.
Ni hayo tu Kaka..