Penzi hatarini

wonderaz

Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
60
Reaction score
6
Wandugu eti mwanamke wangu anaugonjwa wa kuwa ba harufu kali huku chini,nimevumulia sana kuwa naye,first time nilijua hakujisafi lakini kumbe ni kawaida kwake,je kuna dawa yoyote ambayo naweza msaidi akapata pona,mana bado nampenda
 
Ndio maana mnaambiwa "shake well before use" ili uwe na uhakika na ladha ya kilichomo.

Peleka hospital fasta.
 
Chunga anaweza kuwa na fungus peleka hospital mapema
 
Yaweza kuwa fungus au ulaji wa mlango wa kizazi unaosababishwa na gono!! Apatiwe matibabu haraka la cvyo anapoteza kizaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…