pole sana njoo pm kuna rafki yangu ni docta wa kitambo anafanya muhimbili ila ana hospitali maeneo ya airport ana tibu magonjwa ya kina mama for years niliibiwa simu namba hazikuwa kwenye laini so nime renew ila sina namba zake ila kama uko dar njoo pm nikueleze Asipopona rudi hapa jf mungu atamponya through that dokta maaana ni bingwa wa hayo maswala