Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Wanawake bila hvyo hawakuelewi,mim napenda sana kuperuz mitandaoni kuliko kumpigia mtu simu kupiga sogaDuhh kila mara tena! Mi siwezi vya hivi😢
Ni kweli kwangu sms ni muhimu kuliko call naweza nisipokee callWanawake bila hvyo hawakuelewi,mim napenda sana kuperuz mitandaoni kuliko kumpigia mtu simu kupiga soga
Sasa huwa nikiwa nao na wanaona simu nimeishikilia kila muda na huwa siwapigii kila mara wanabak kushangaa
Hakika hayanaga muongozo...Akipigiwa simu usiku hapokei ni red flag hio🚩🚩🚩
Penzi Lina siku chache ila misukosuko mingi 😹
Hatari!!!
Mungu atusaidieHakika hayanaga muongozo...
Wako wangapi?Wanawake bila hvyo hawakuelewi,mim napenda sana kuperuz mitandaoni kuliko kumpigia mtu simu kupiga soga
Sasa huwa nikiwa nao na wanaona simu nimeishikilia kila muda na huwa siwapigii kila mara wanabak kushangaa
Nasemea niliowah kuwa naoWako wangapi?
Sawa mkuu ila Ngoja kwanza huyu sifanyi haraka kumuacha namsikilizia kwanzaWasu
Wasukuma hatupo hivyo ni vile tu unafiki hatuuwezi! Mtu hajakupenda achana naye sio kila anayekutongoza ndio wa milele, wengine huwa wanatongoza kujifurahisha au wako insecured tu, sa ingine mtu anapita zake kama upepo kwako shwaaa! And maybe kapata mtu sahihi ndani ya huo muda mliotafutana au karudiana na ex wake! Jifunze kusoma alama za nyakati and make yourself useful kwenye mambo yako! Or else utakonda wewe!!
KumbeKuwa single ni kitu hakiwezekani labdaa nijiandae kuachwa na wewe ila sio kuwa single
Kuna watu tu wanachokaga kuongea kwenye simu kila siku,mfano mim hii tabia nilikuwa nayo ila wife ndo alinibadilisha tulikuwa tunaishi mbali kama km 30
zAman niliamin mpenz inatakiwa umpigie simu hata mara mbili kwa wiki kumbe ni kila siku na kila mara inatakiwa muwasiliane au mchat
Mkuu hutii moyo unavunja kabisaaKama ulimpata mtandaoni basi hesabu maumivu, simba hapendi mizoga.
Kama alikutongoza basi ni ana dharau, na hakuhitaji na hakupendi.
Kotekote ni za uso, mkuu hamnaga mtu anakua bize kwa kinachompa amani, furaha na utulivu.
Usijedhani akipata genye ndio atakuja mbio, unajidanganya. Mpaka anakulamba mikausho mikali jua kuna namna anayojua yeye kujiridhisha, wewe ni kama backup ya mbali kabisa.
Mkuu hajavutiwa na wewe ila anashindwa jinsi ya kukwambia.
Pole sana.
Enewei mimi nipo single lakini.
Alifanyaje kukubadilisha nijaribuKuna watu tu wanachokaga kuongea kwenye simu kila siku,mfano mim hii tabia nilikuwa nayo ila wife ndo alinibadilisha tulikuwa tunaishi mbali kama km 30
zAman niliamin mpenz inatakiwa umpigie simu hata mara mbili kwa wiki kumbe ni kila siku na kila mara inatakiwa muwasiliane au mchat
sasa tumfanyaje na hataki kukupa attention?Tumefikia huko mkuu
Nmempigia mara 1 tu jmn 😂Akipigiwa simu usiku hapokei ni red flag hio🚩🚩🚩
Penzi Lina siku chache ila misukosuko mingi 😹
Hatari!!!
Hahaha na Kweli lazima uchanganyikiweIf they love you, You will know.
If they don't you will be confused
Mimi sio muhanga wa kuchangiwa pesa ziende kwa majeruhisasa tumfanyaje na hataki kukupa attention?
anyway kidogo nisahau, waone moderators wakupe control number ya kulipia tangazo