Penzi jipya mawasiliano ya zamani

Kama sura na tako unalo na ni mweupe njoo tuyajenge. Ntakutumia meseji kila saa bando sio shida kwangu.
 
Utampata atakaekupa attention mpk umuone kero nakwambia hata ukienda toi atataka video call,, ni jambo la muda tu kuwa na subira
Mwanamke wa kibongo akipata mtu wa hivyo nae anaanza nyodo za hatari. Mwanzo atafurahia sababu hajazoea ila ghafla atakinai na kuona usumbufu.

Unaiomba unaanza kupewa vipengele. Unapiga simu anashika anapojisikia yeye nyodo kibao. Unaanza kuitwa mlalamishi πŸ˜‚

Ukija kustuka kumbe kuna muhuni tayari kashapindua meza. Anapigiwa simu yeye sio wewe tena wewe kazi yako inakuwa kuombwa hela tuπŸ˜„. Huyo ndio mwanamke wa Kibongo alivyo.

Huko anapofanyiwa nyodo hawezi kuacha kirahisi. Atajifanya anasusa ila akivutiwa waya tu anapoozwa na kuliwa chaap. Kisha routine ya mikausho inaendelea.
 
Uko sahihi inatakiwa athamini utu wake kabla ya hisia za kimwili ndo ataweza kutoka huko anakofanyiwa nyodo,
 
unachofanya kwa huyo anayepiga missed call 8 hupokei unaona ni sawa.
ila we ukifanyiwa hivyo na msukuma unakuja kubandika tangazo jf. unasahau what goes Around comes Around
Tofauti ni kuwa mmoja nina uhusiano nae mwinginee sina kosa langu nini hapo
 
Mizani ibalansi yaani usiwe kero.. yaani shobo nusu mikausho nusu hapo utatoboa kwa mwanamke
 
Sawa mkuu ila Ngoja kwanza huyu sifanyi haraka kumuacha namsikilizia kwanza
Unataka kumpiga na kitu kizito? Hapana acha naye! Yani mi hata nimuelewe vipi mtu nakusahau dk 1 hapo napo nina masters aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…