Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Futiboli nd mbususu do not mixPenzi limeshusha kiwango cha Azizi ki
Penzi limemuondosha Gamondi
Penzi kitovu cha uzembe
Kila mtu Yuko huru kupenda anachotaka Ili mradi avunji Sheria za nchi, tumekuchoka na hili andiko la hovyoBABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.
1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.
Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.
LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.
2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.
1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.
4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo
6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk
MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.
OKOENI TAIFA LENU LEO.
IPO SIKU HILI TAIFA LITAZIDIWA NA SOMALIA KIUCHUMI.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
Lakini unakumbuka kuwa Yanga inafungwaje?Penzi limeshusha kiwango cha Azizi ki
Penzi limemuondosha Gamondi
Penzi kitovu cha uzembe