my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Lile penzi lililokuwa linatikisha Afrika Mashariki sasa liko ICU na muda si mrefu litaaga dunia.
Inasemekana penzi hili limeisha siku nyingi kwa upande wa msanii maarufu Diamond Platnumz ila Tanasha kama ndio anaforce hili penzi ili liweze kuendelea kwa kuogopa aibu ambayo itamkuta baada ya kuachana kwani wambea na x-wife wa Diamond, Bi. Zari The Bosslady walimuambia siku nyngi kuwa Diamond sio wa kumuamini ila Tanasha hakusikia akidhani wanamuonea wivu.
Kwa sisi wazungu tunaita ni 'one sided love' na Tanasha ndio anaforce love 😂
Week iliyopita Diamond alitoa wimbo wa pamoja na Tanasha lakini cha kushangaza hakuupromote kama anavyopromote nyimbo zake mwenyewe na baada ya siku 2 akatoa wimbo wake ili kuupoteza wimbo wa Tanasha na akaacha kabisa ku promote wimbo wake na Tanasha.
Jana Tanasha alikuwa na show Tanzania lakini hakuna mtu aliye promote show yake. Kwa ufupi Tanasha amechokwa lakini anaogopa aibu ya watanzania.
Leo Tanasha ameanza kupost mafumbo instagram na kufuta picha zote za Diamond na familia yke na amemuunfollow dada wa Diamond aitwaye Esma Platnumz.
Inasemekana Tanasha amechoka na ameamua kuachana na Diamond baada ya kuona matukio yakiongezeka kla siku. Hapa naona Tanasha anatingisha kibiriti tu anadhani na yeye ataambiwa atafuatwa Kenya kwa magoti 😂.