Penzi la Diamond na Tanasha liko ICU

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Lile penzi lililokuwa linatikisha Afrika Mashariki sasa liko ICU na muda si mrefu litaaga dunia.

Inasemekana penzi hili limeisha siku nyingi kwa upande wa msanii maarufu Diamond Platnumz ila Tanasha kama ndio anaforce hili penzi ili liweze kuendelea kwa kuogopa aibu ambayo itamkuta baada ya kuachana kwani wambea na x-wife wa Diamond, Bi. Zari The Bosslady walimuambia siku nyngi kuwa Diamond sio wa kumuamini ila Tanasha hakusikia akidhani wanamuonea wivu.

Kwa sisi wazungu tunaita ni 'one sided love' na Tanasha ndio anaforce love πŸ˜‚

Week iliyopita Diamond alitoa wimbo wa pamoja na Tanasha lakini cha kushangaza hakuupromote kama anavyopromote nyimbo zake mwenyewe na baada ya siku 2 akatoa wimbo wake ili kuupoteza wimbo wa Tanasha na akaacha kabisa ku promote wimbo wake na Tanasha.

Jana Tanasha alikuwa na show Tanzania lakini hakuna mtu aliye promote show yake. Kwa ufupi Tanasha amechokwa lakini anaogopa aibu ya watanzania.

Leo Tanasha ameanza kupost mafumbo instagram na kufuta picha zote za Diamond na familia yke na amemuunfollow dada wa Diamond aitwaye Esma Platnumz.

Inasemekana Tanasha amechoka na ameamua kuachana na Diamond baada ya kuona matukio yakiongezeka kla siku. Hapa naona Tanasha anatingisha kibiriti tu anadhani na yeye ataambiwa atafuatwa Kenya kwa magoti πŸ˜‚.

 
Hahahahaha mkuu unachekesha. Uzi wa jacky sijaona mahubiri hayo au jack sio mwanamke mwenzetu? Wanawake wote ni wachawi ila tumezidiana viwango na unafiki
Moja ya viashiria vya uchawi ni kufurahia anguko la mwenzio

Hadithi yangu inatufundisha kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
#sad πŸ˜”

Trueee yani nakazia hapo,ni ukwelii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wabongo hamja zoea tu hizi Kiki za Wasanii, Kwani hamjui watu wapo kazini.. Bila hivyo visanga na vurugu mechi hamta waongelea... Au hamjui hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…