Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi

Tabia za KISHOGA kwa Mwanaume kuanzisha nyuzi JF zinazohusu maisha ya wapenzi wengine,haya kimbia kachukue nafasi ya Kajala sasa[emoji3]
Je zako za kusoma nyuzi unazozani za kishoga na kupoteza muda kukoment huzion
 
Jukwaa la kilimo hukuliona mkuu?

Ukiona uzi huuelewi jua, una wenyewe
Usitegemee kila uzi humu ukufurahishe

Ukiona uzi huuelewi
Jifunze kupita tu kimya kimya[emoji4]

Ni mtizamo wangu tu
no offense intended[emoji120]
Nakazia
 
Kiki tu hizo,
Hawajaachana wala nin
 
Hakika mkuu
Kajala kaanza kuruka majoka kitambo sana toka enzi anasoma Jitegemee kipind hcho nahis Rajabu alikuwa chalii analamba kamasi🤣
 
Ua jeusi lilishinda na lilimuacha.. tuondolee blah blah zako hapa.. mwache Zari mshindi.. hadi leo huyo bila yeye na wanawe hana kiki.. [emoji1]
Kwahiyo kati ya Mond na Zari aliyempa kiki mwenzake ni Zari? Kwa kipi, au watoto?[emoji23]
 
Sikuzote x harudiwi aisee,yaan ukiona umeacha afu ukabembelezwa ukajirudi jiandae kuachwa....wanakurudisha kulipa kisasi
Wewe umeiva kwenye psychology, mara nyingi hutokea ikiwa umesumsumbua sana wakati wa kukuomba msamaha yaishe.

Kuna muda mtu atomba msamaha akiwa na nia ya dhati kabisa ya kubadilika ila kadri unavyomuwekea ugumu na kutaka akubembeleze as if wewe ni malaika na umekamilika, ule nia ya kuomba msamaha hugeuka kuwa FURSA YA KUTAFUTA KISASI.

Ukijichanganya tu imekula kwako, maana mara nyingi ni utarudi ukiamini kuwa unapendwa sana (ndiomaana umepambaniwa kurudishwa), ukipigwa tukio kwenye nyakati kama hizo huwa inakamata balaa[emoji23].
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…