Uswauri wangu kwako piga ndoa nae sbb umekiri ume fall in love so usiutese mwili na unajua dini zte na kabila pia zinaruhusu mke zaidi ya 1 ila uchache wa kivielewa vizuri vitabu vya Mungu ndio watu wanatishana kwa lengo la kuipa zinaa nguvu sbb ww ushaoa wake 3 mm na mwingine tunao labda 2 makahaba watakwama na tukienda ktk night club wadada watachunda sbb kila men anao kibao wa halali hme
Kul tunda mkuu jivinjari,mtu umlipe mshahara mwenyewe halafu aliwe na waendesha boda boda au walinzi,kula tunda mi mwenyewe kuna kahouse girly kapya wife kakaleta kananivutia lazima nitakachinja soon
una mke?
Umeoa??kama hujaoa go ahead!
Actually ana miaka 20 na kupima ilikuwa ku-ensure usalama wetu. kuhusu kubaka si tunaelewana wajameni
Fikra finyu & shame on you
Tuonyeshe busara zako na siyo upumbavu wako
Actually ana miaka 20 na kupima ilikuwa ku-ensure usalama wetu. kuhusu kubaka si tunaelewana wajameni
Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya. Naombeni ushauri, nitafanyaje ili niweze kuachana nae?
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii umeoa?? naweza data, nikisikia haya makitu kwa hubby! Holly Mary of GUADALUPE, pray for all wives in their matrimonial marriages! TUFIAKWA!
Haiye monowama....Amen 4 that my dear, kha mahousegirl, ngashtuka kwa kweli........