Penzi la house girl

daaah ...mkeo yupo around?
huyo housegirl ni pepo huyo...mfukuze nyumbani kwako ...atakuachia balaa hutokaa usahau...mfukuze haraka

House girl sio pepo, anahaki kama wanawake wengine na anafeeling za kupendwa kama wanawake wengine. Tafuta pepo jingine
 
Ngoja siku mkeo akukimbie ndio akili itakuja. House girl ataolewa na mtu mwingine na mkeo atasikia hayo madudu yako unayo fanya.
 
Pole sana!!!! Ila hongera kwa kufanyiwa kazi mbadala na huyo beki 3 wako.
Amakweli anakufanyia kazi.
 
Kimbembe kitakuwakia siku utakapo mpa mimba
mtaani itabidi uhame na inawezekana mkeo ni mzuri kuliko yeye ila kwa tamaa za damu changu na six oclok milk umedata
mchezo huo acha mapema ndugu jiepushie balaa.

 
Actually ana miaka 20 na kupima ilikuwa ku-ensure usalama wetu. kuhusu kubaka si tunaelewana wajameni
Endelea kupiga huyo mkubwa sana 20yrs si kitoto,cha msingi angalia mazahausi asigundue,mwenyewe nna hausgel wang mzuri xana hapaa na nnap.. kama kawa
 
Kufanya mapenzi na beki tatu ni kumdhalilisha wife,thats for real,sitaki kuwa mnafiki.Ni bora kama mambo yameshindikana na una uchu sana wa kupiga kitu utafute mdada tu mahali mbali kidogo na mitaa ya home ili kulinda heshima ya mama watoto,pia hebu jiulize huyo beki tatu utaenda nae mpaka wapi?au kuna siku atapata ujauzito halafu uta mdampu?Kumbuka mpaka amekuja hapo kwako kuwa housigel ni kuwa mambo hayakumyookea hivyo cheki kaka usije ukampa matatizi makubwa zaidi,Ila kama umejipanga na hautamletea maumivu ya kimaisha piga kitu kaka.
 
Ushauri mzuri ni kuachana na huyo housegirl kwa sababu hana future naye. Najua sababu kubwa ya watu kupenda mahaousegirl ni kwa sababu ya kupenda urahisi au kitonga lakini itakucost kwa sababu housegirl amekupa wewe ili mambo yake yawe shwari lakini ana ndoto za kuolewa kama mkeo.

Kwa mantiki hiyo anaweza kuwa na wanaume hata watano bora kwa uelewa wake aamini watamfikisha kilele cha ndoto zake ambazo ni ndoa!!!

Kwa kusema umepima nae unajenga hoja kuw sasa game ni kavu kavu!!!! Hiyo inaongeza ubalaa wa mimba na ......
 
Wee endelea tu na tabia yako hiyo mbaya, kinachokushinda kuachana nae nini haswa mpka umnamng'ania mdada wa wa2? mm naona hauko siriazi na uamuzi wako.
 
mmmh! alaaah kumbe ndo zenu eee? mm nikitafuta hs/g natafuta mbaya mbaya tu,tembea na wanawake wengine bt sio hs/g na siku ikitokea nikawafumania nachinja wote! wanawake mbona tuna kazi na hawa wanaume, Tufanyeje jamani hawa wanaume ambao unakuta ameoa then anatembea na hs/g wake?
 
Jamani wanaume tuache ubinafsi hakuna mahali panapo ruhusiwa mtu kkumsaliti mkewe i wish hii thread angeitoa mwanamke kwamba kamtamani house boy wake ungeona ambavyo watu wangetoka povu hapa jamani tuwe tunafikiria na upande wa pili wa shillingi. Ingekuwa mwanaume ndo ungesikia ohoo mke anauma ni mtunze mke wangu alafu mshamba mshamba aje kinivurugia tena house boy ntaua mtu.
 
mabeki 3 ni watu sawa na wake zetu nao wanahitaji. wake zetu wamezidi kiburi kia kazi beki tatu wao wamegeuka malkia.
 
Kama huna mchumba mpange kama vp mfunge ndoa unataka ushauri gan unataka kumwacha kwa 7 umeshampotezea muda wake na kumuchezea sio vzr ndugu yangu kama mnapendana mpaka mmeenda kupima endelezeni uhusiano wenu kwan house girl hana haki ya kupendwa!
 
Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya. Naombeni ushauri, nitafanyaje ili niweze kuachana nae?
sijui ni kwa nini watu wamechukulia sana kua unamke?
sijui ni kwakua umezungumza habari ya housegirl? mimi sijaona kama kuna sehem ulosema kua unamke.
so ushauri wangu ni huu: mahusiano yoyote ya mapenzi ili ya dumu na yafurahiwe ni
sharti yaanzishwe kwa msingi wa mapenzi. si pesa, uzuri, umaarufu n.k
Kama unauhakika kua unampenda na yeye anakupenda hyo kwangu ni kitu chanya sana.
Kwangu mimi binafsi kitu inachosubiri nioe ni kumpenda mtu.
So nakushauri MUOE.
 

tatizo mnakinaisha haraka,sasa siye tufanyaje?
 
Duuuuuuuuuuu wanaume wa hapa jf hapana faa hata 1 kila siku mara mke leo mnataka vijakazi ila inategemea kama umezoea kula vijakazi kwenu leo kwako wataka ushauri wa nini mwasherati na mzizi mzoefu dawa yako iko jikoni kulakula mlaku wewe
 
wana jf naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya. Naombeni ushauri, nitafanyaje ili niweze kuachana nae?
u
jirani hujaacha hii tabia yako mbala au mkeo pia alikuwa house girl wako b4 hujaoa lo mchukua vya bei rahisi na wanao wataoa na kuolewa na type hizo unajua mchafu ni mchafu tuu hata akioga atarudia nguo chafu we endelea kula mataputapu tu
 
kul tunda mkuu jivinjari,mtu umlipe mshahara mwenyewe halafu aliwe na waendesha boda boda au walinzi,kula tunda mi mwenyewe kuna kahouse girly kapya wife kakaleta kananivutia lazima nitakachinja soon

kwa kweli muogope mungu wako,mme km wewe hafai kbs,ulioa kufuata mkumbo ili upigiwe tarumbeta bt haupo committed.
 
Duh, unafaidi sana, ninavyowajua ma house girl wanavyojua kuunga nazi nyama, we acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…