Penzi la jini linaifanya ndoa yangu kuyumba

Penzi la jini linaifanya ndoa yangu kuyumba

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
613
Reaction score
313
Habari wakuu.

Niko na mikasa mingi ambayo inanichanganya kichwa.

Mnamo mwaka 2015 ilitokezea siku moja Mke wangu wakati wa mechi ghafla alibadilika alinipa shooo ya ajabu ambayo sikuipata toka nilipomuowa zowezi hili lilikua kama kwa muda wa week 1 mfululizo niliinjoi sana licha ya kua na uzowefu sana ktk ndondi za kitamdani ila week hio niliona kua mechi ilifana.

Siku ya mwisho ya mchezo akaniambia hivi “week nzima unamsaliti mke wako ingawaje na mimi nimemsaliti mume wangu sijutii maana umenikuna ndipo nyinyi wanadamu munayaweza sana kwaheri ukinihiyaji niite nitakuja tufurahi tena”
Jini alitoka kichwani mwa wife hapo ndipo nikajua kumbe ilikua sio wife kwa kweli kwa kua sikujua jina lake sikujua vya kukuita ila kila siku nilitakani aje mule tupige sebene.

Basi baada ya miaka mingi kupita augost 2021 wakati nimekaa na wife nikaona wife ameanza kuleta ishara ya kua anahitaji nikasema heee leo makubw naziwa mimi basi kutoa mashirikiano nikaona mambo yaajabu mazuri nikapewa gemu zito nikamkumbuka yule jini nikasema mbona inafanana na miaka 6 iliopita gemu lilikua zito sana “ni kiaka 6 sijazipata raha hizi nataka nikuangalie uko na nguvu nilizokuach nazo kwa nini hukuniita”

Basi mechi ikapigwa si ya nchi hiii unajua ukuni wa nvua hatumwi mtoto.

“Nashkuru naona hukongi leo nakupa jina langu naitwa .............. ukinihitaji mda wote niite kama mume wangu hayupo nitakuja wewe unanimiliki kuliko yeye”

1 Tatizo kubwa waungwana nimeasirika na mauno yake huyo Jini mke wangu naona kama ananitegemea mie tuu

2 Mke wangu analalamika kwa kukaa siku nyingi bila ya kumgegeda na nikianza tuuu kutaka kumgegeda huyu jini anakuja yeye

Sasa ndoa iko mashakani nifanyeje?
 
Habari wakuu
Niko na mikasa mingi ambayo inanichanganya kichwa.

Mnamo mwaka 2015 ilitokezea siku moja Mke wangu wakati wa mechi ghafla alibadilika alinipa shooo ya ajabu ambayo sikuipata toka nilipomuowa zowezi hili lilikua kama kwa muda wa week 1 mfululizo niliinjoi sana licha ya kua na uzowefu sana ktk ndondi za kitamdani ila week hio niliona kua mechi ilifana.

Kawaida ilivyo hata hapo kwenye tendo la ndoa hukuwa na mkeo,Ila lilikuijia tu ukawa unafanya nao jenyewe..!

Jaribu kutafuta solution mapema vinginevyo ndoa itaota manyoya kwani jini halipendagi kushea,
Na lilivyo na wivu litaanza kukuletea picha za wanawake warembo unaowajua ili uendelee kufanya nalo mapenz.....!

Kibaya zaidi litakutia ukata wa ridhiki ili limvuruge kabisa mkeo aondoke ao utakuwa ukiwa na mkeo uume hausimami)..

Kiboko ya jini hutolewa na Msomi(Sheikhe) asiyefanya maasi)

Jini halimwingii mwanamke ao mwaname ispokuwa maasi na uchafu.
Mfano utakuta umekutana na mkeo hukuoga janaba hapo jini ndiyo nyumbani kwake..
 
Kapime akili pengine una tatizo la kisaikolojia!

Kama sivyo basi hii ni chai yenye mchaichai.
 
Yanazingua hayo mazee nenda kwa mwamposiya utakuja kunishukuru
 
Habari wakuu
Niko na mikasa mingi ambayo inanichanganya kichwa.

Mnamo mwaka 2015 ilitokezea siku moja Mke wangu wakati wa mechi ghafla alibadilika alinipa shooo ya ajabu ambayo sikuipata toka nilipomuowa zowezi hili lilikua kama kwa muda wa week 1 mfululizo niliinjoi sana licha ya kua na uzowefu sana ktk ndondi za kitamdani ila week hio niliona kua mechi ilifana.
Oya we mwamba ivi unaota? Au ndo umepost ukweliukweli? Anyway nenda kanisani/ msikitini ukaombewe aisee
 
Habari wakuu
Niko na mikasa mingi ambayo inanichanganya kichwa.

Mnamo mwaka 2015 ilitokezea siku moja Mke wangu wakati wa mechi ghafla alibadilika alinipa shooo ya ajabu ambayo sikuipata toka nilipomuowa
Bangi mbaya sana unaona sasa?
 
Back
Top Bottom