Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Na hapendeki na watu.....sijui ndo kwa ajili ya hizi tabia zake???Kimei nae nasikia kafanya yake sana kwa huyu binti
 
To each his own,wote tumepewa vidude...how to use them,is none of one s'bussiness...
 
Kanaboa! Katakuwa na kimavi au nuksi...! Kakimbikilie church au kwa mganga.

Church ndo nyumban kwake na kwaya juu anaimba.....Mungu hataki watu wanaojifanya vuguvugu.Aende kwa dkt maji marefu atajua dawa ya kumpa.

Miss u too
 
warumi ila me kidoti nitakuja kufumba macho niamue kurudi kutaka ndoa.Me alinikera sana pale aliponitoroka chuo na kwenda Nairobi kutoa nyimbo na A.Y then nikasikia tetesi kuwa jamaa aligongea kulekule na wakaachana kulekule kwa mkataba wa kununua ngono.Ki ukweli niliumia sana! Ila binamu nakuambia hata hivyo dem ana mashine haina mvuto kabisa yan ni ado ado tu.
 
Last edited by a moderator:

aahah duh hatar , huyo hafai kabisa, bora tukaoe kimbiji mjni nuksi tupu
 
Last edited by a moderator:

Khaaaaa usiniambie kuwa body ya range imefungwa mashine ya DCM
 
Last edited by a moderator:

Kwenye mbio za urais, mtu aliambiwa kila mtu anaweza kuwa Rais lakini si kula mtu anaweza kuwa profesa!
 

Ha ha mkuu umenikumbusha aisee nakumbuka tulikua hotel moja tena akina wolper na bibiye wema kwa macho yangu niliwashuhudia walokuwa wakiyatenda kule halafu bibiye baada ya AY kusepa alirud hotel kuliwa na kijana flan hiv wa hapo mjini aisee hao watu nainaga hata kinyaa kuwasikia....
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaa usiniambie kuwa body ya range imefungwa mashine ya DCM

Ndo maana alikimbilia kwa hasheem akapewe mkombot wa haja, maana aliona akina ndomo wanamtekenya tu uko chini, mmh jokate kiboko yao
 
Nadhani na yeye anakua sawa na wale wanaosema Chopewa na Mungu kumnyima ntu zambiiiiiii........
 
Watu mna mambo kweli. Swala la uchi halikwepeki jamani, mbona mama yake r.a.y c kalalwa vibaya sana na mkubwa wa kazi baada ya R.a.y C kupona maana ilikuwa afe. Hakuna vya bure mjini
 
Watu mna mambo kweli. Swala la uchi halikwepeki jamani, mbona mama yake r.a.y c kalalwa vibaya sana na mkubwa wa kazi baada ya R.a.y C kupona maana ilikuwa afe. Hakuna vya bure mjini

Heeee.. This is classified news...!!
 



Mkuu ndio wewe ambae ulikuwa best yake,baadae ukajazwa maneno demu anakupenda mtokeee ukajua kweli kidume ukapiga sound demu akakutosa na urafiki ukafa
 
Last edited by a moderator:
Watu mna mambo kweli. Swala la uchi halikwepeki jamani, mbona mama yake r.a.y c kalalwa vibaya sana na mkubwa wa kazi baada ya R.a.y C kupona maana ilikuwa afe. Hakuna vya bure mjini

Nothing goes for nothing mweeee acha bana mama katoa pochi nyoya ka aksante
 
Kweli mkuu PESA hata kina matumbo wanaweza kuziokota sio shule

Utafanya mbwembwe zote za dunia kwenye shule utasanda Sana


Ndio maana wana PhD fake. Walisema watampeleka mahakamani yule jamaa aliyewaumbua hadi leo hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…