Penzi la kwanza na vituko vyake...Lilinitoa jasho

duuuuh............!!!
 
Ulipona heart attack

sikupata hiyo!

Nillisumbuka sana nikawa na shinda nyumbani wakati haikuwa kawaida yangu na demu alikuwa jirani yetu.

Nakumbuka nilifumwa na baba yake huyo demu tukiwa wawili tu akaenda kusema nyumbani nikapewa onyo lakini sikusikia.
 
Eeeeh mi hapo tu ndo uliponiacha hoi, wanaume bhana mh
 
Aaah mimi nilikutana na gogo,yaani alikuwa hajiwezi kwa chochote,kanikatisha tamaa ya mapenzi mpaka sasa sihitaji tena mapenzi nahisi wote watakuwa magogo kama yule wa kwanza!!
 
hahahahaa! Mie nilikuwa muoga sana nahisi ni kwa7bu binti ndie ambaye alianzisha, Sasa ushakuwa mjanja?
 
Aaah mimi nilikutana na gogo,yaani alikuwa hajiwezi kwa chochote,kanikatisha tamaa ya mapenzi mpaka sasa sihitaji tena mapenzi nahisi wote watakuwa magogo kama yule wa kwanza!!

Kwani gogo ni mapenzi..khahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…