Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Lile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu.

Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa kujihusisha na imani za kishirikina. Hata hivyo chanzo kamili cha wawili hao kuwa katika hali ya sintofahamu bado hakijajulikana ila wawili hao sasa hivi hawakai zizi moja kama zamani.
 
cc@tzshaderoom
 
Bora uishi na demu mchepukaji lakini kigagula mmmh utakuwa
Unakula hata misukule hujijui...unashindwa kufuata mawazo yako maana kila siku utakuwa unarogwa kwanza ndo mnafanya yenu so mwisho unatembelea mawazo yake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…