mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Unaambiwa couple inayotrend mtandaoni maarufu kama Meet Us, nje ya upendo ni chapa na ni brand inayowapa kipato. Ni biashara kama biashara nyingine Tsh Million 6 hadi 8 zinaingia kila mwezi kwa kuoitia brand yao. vipi wewe na huyo ulienae? Mnaingiza shingapi?