Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
halafu tutaambiwa na kupanda kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia
hii imenishangaza sana
mdada mmoja kwenye kipindi cha wanawake live amesema eti wadada wengi siku hizi wanajiingiza kwenye mapenzi sio kwa sababu wanawapenda sana wanaume bali ni kutokana na mfumuko wa bei unaondelea hapa nchini
eti wanawake wako tiyari kuishi na mwanaume asiyempenda ilimradi anamuwezesha kifedha
amekwenda mbali zaidi kwamba mfumuko huu wa bei za vitu ndio unaopelekea ndoa za fashion..
Wadada na wamama ya kweli haya?
mi si mmama si mdada,,,ni mkaka,,,,,mashart yamenshinda
Mi nadhani angesema wapenzi wengi wamemwagana kwa sababu ya mfumuko wa bei,!!? watoto wa kike wengi kwa sasa ukimtongoza leo atakuvumilia siku moja inayofuata lazima akupige mzinga
na marioo pia kibao,mbona mmewasahau??? au hamuonu hapo juu love conect yakitafuta mashuga mami ya kuwalea?:boxing::boxing:
mh,mabwaku!
Kujiendekeza tu.................
Kwani huo mfumuko wa bei hauwahusu wanaume, au wanawake wamekatwa mikono na hawawezi kufanya kazi..........!
Visingizio vingine havina hata kichwa wala miguu............
nashangaaaaaaaaa, yaani nina akili, mikono, miguu n.k, halafu nikae na limtu silipendi kisa hela zake, lol!Kujiendekeza tu.................
Kwani huo mfumuko wa bei hauwahusu wanaume, au wanawake wamekatwa mikono na hawawezi kufanya kazi..........!
Visingizio vingine havina hata kichwa wala miguu............