Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

wanafanywa tuu sana mkuu!
 
Ukala mbunyenye!
 
Niko njiani naelekea Dodoma, nitatafuta lodge maenro ya Makole nilake ....
 
Mpe u sekretari hapo bandarini
 
Wahudumu wa lodge asilimia kubwa wanaliwa kimasihara sana na wateja, hususan wale wanaolala zaidi ya siku moja. Kuna wale wababa wanaoenda kikazi sehemu analala siku 3 hadi wiki, usipokula umejiamulia tuu. Hapo wala hutongozi, vistori flani flani tu hivi mara umemuagiza kitu flani, mara umemuachia akufulie nguo anajaa kwenye fomu haraka sana
 
Hongera sana
 
Tea without sugar.....teh teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…