Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

Ndo utoe jina la lodge wateja waende wakapagawe na wao
Kizuri kula na wakurugwa wenzako
 
Ukisikia malaya wenye maono na mafunuo ya mbali kuhusu future ndio hao sasa.
Kwanza kakurubuni uamini yeye hajiuzi.
Pili kakuamisha yeye pesa kwale sio kitu ila penzi ndio zawadi tosha.
Tatu kajaribu kujihakikishia steady flow ya income kwenye office yake..

Kafanya yoote hayo ili aingie miguu miwil kwenye akil yako

Mwisho kabisa hiyo pesa aliyoikataa ni kwakua kaona ndogo na kwa hakika jiandae kutoa MARA 2 AU 3.

Utatuma hiyo pesa utake usitake
 
Jinga kabisa hizo ni faragha zako unakuja kutumbia sie huku kwani unazani watu wote humu ni rika lako? mpuuzi Sana haya omba msamaha haraka sana
 
Maelezo meeengi na lodge hujaitaja.. sie tukalale wapi?!
 
Dodoma hawana baya na mie nitakuja mpwa na treni ya SGR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…