Penzi la mpito lageuka mzimu kwenye penzi jipya

Jamani asante kwa upembuzi yakinifu , pia naomba unishauri.
 
Hata mimi bado nakuwaza sana achana na huyo mchimba chumvi mpya

Wa mpito hapa
 
Hii stori naomba nikuulize swali moja tu....

Uliachana na mpenzi wako mliyedumu miezi 5 mwaka 2020?

Kama ni wewe wasalimu Dodoma
 
Kitoto cha 98 ila mapepe kinoma

Haya njoo unpe nafasi mimi uwe unaniota hadi mchana😎
 
Hapo kuna mawili kuna mmoja mlikuwa na chemistry nzuri Zaid ya kiroho na kihisia mbali na sex (huyo mpenz wa mpito) na ayo ndio mapenz yenyewe sasa ila wengi huwa hatujui, na kuna mmoja unahis mnapendana kwa sababu unaona anakujari (huyo ulienae sasa) hapo upo nae kimwili na akili unaidanganya kuwa unampenda lakin moyo unakataa.

Maamuzi yapo juu yako sasa.
 
Dah! mtihani kwa kweli, natumaini nitashinda.
 
Heshima kwako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…