Penzi la PACHO na LINAR lafichuka rasmi

Wabongo tokea wamejua Freemason basi imekuwa shida hata ambaye hajui maana yake naye yumo tu ili mradi tu nae ametamka Freemason anaona raha....
 
hayo ayatusaidi kujua kama wanatoka au vp kimpango wao na maisha yao
 
hivi vijitu vinavyojipendekeza kwa ma freemason hivi njaa inawasumbua sana...
sasa kuwa na uhusiano na huyo ndege mnana sio kitu cha kujisifia sababu kila mtu aliyepita nae aikijisifia i think kutakuwa na pages 10 hapa

Hahaaaa,mwana CTU umekata ngebe zooooote!
 
Lina anaendelea kuwaesabu akitoka kwa pancho makini akitoka kwa makini R***. ukiwamaliza wote mtafute Stara akupe ushauri

Kwenye red hapo kaka!hahahahahaaaaaaa,nimecheka sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…