Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Mamdogo Penny
Money Penny enhe!
Mwana: niko na sugar daddy ila kama kijana daddy
money penny: kwanini?
mwana: penzi lake lanitesa sana, mwanaume anaenda kwa siku mara 3
money penny: ana umri gan
Mwana: na miaka 83
Money Penny: mkewe?
Mwana:alishakufa
Money penny: sasa shida ni mkewe au round?
Mwana: round mama utadhani ana miaka 20 buana,
Money Penny: au anatumia mkongojo, sijui mkongo sijui viagra?
Mwana: anatumia viagra ila hii kali,ni kama nalipia hela anazonipa, sijui nafanyaje kwakweli
haya wana, muje mumsaidie aafanyaje, penzi la suga daddy lamtesa!