Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Ugoro utamuathiri zaidi yeye kuliko mwanaume.Aweke ugoro ili waende sawa
Koment yangu mtu asiiguse π€£π€£π€£
UWEEEHaya mnaitwa kumsaidia mwenzenu ushauri anapelekea moto na chuma chakavu mpaka hajui ateme ndoana au ameze tamaa zitawatoa mabandama watoto wa 2000!
uweee, kuna atakaegusa?!Aweke ugoro ili waende sawa
Koment yangu mtu asiiguse π€£π€£π€£
PREACH PREACHERUgoro utamuathiri zaidi yeye kuliko mwanaume.
Kwanza, ugoro huleta harufu mbaya sana ukeni.
Pili, husababaisha muwasho na kuua wadudu rafiki. Hivyo afya ya uke, hudhoofika na kuleta magonjwa kede. Pengine saratani ya kizazi.
Mapenzi siyo adhabu. Ni burudani. Kama amechoka azungumze na mwenzake.
Lakini kwa kuwa miaka inatofautiana sana, nadhani ndiyo maana hata anashindwa kumuambia.
Pili, huenda mwanaume naye anafanya kwa nia ya kukomoa ili kufidia matunzo anayotoa.
Wazungumze wakubaliane.
Atulie apelekewe moto si kataka mwenyewe π
uwee!Atulie apelekewe moto si kataka mwenyewe π
aki-k0joa haraka ataanza tena kile kibabu kitakuja kunifia kifuani hakina hata nguvu dakika tano kimechokaMamdogo Penny
Money Penny enhe!
Mwana: niko na sugar daddy ila kama kijana daddy
money penny: kwanini?
mwana: penzi lake lanitesa sana, mwanaume anaenda kwa siku mara 3
money penny: ana umri gan
Mwana: na miaka 83
Money Penny: mkewe?
Mwana:alishakufa
Money penny: sasa shida ni mkewe au round?
Mwana: round mama utadhani ana miaka 20 buana,
Money Penny: au anatumia mkongojo, sijui mkongo sijui viagra?
Mwana: anatumia viagra ila hii kali,ni kama nalipia hela anazonipa, sijui nafanyaje kwakweli
haya wana, muje mumsaidie aafanyaje, penzi la suga daddy lamtesa!
π€£π€£π€£ maji ataita mma
Kiruaki-k0joa haraka ataanza tena kile kibabu kitakuja kunifia kifuani hakina hata nguvu dakika tano kimechoka
Uweeπ€£π€£π€£ maji ataita mma
UweeHahahaaaa Hapo atatoka mtu kibiongo
Asubutuuuuu!π
πΆββοΈAsubutuuuuu!π
Yanarun dunia love