Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Ivi ushawahi kukutana na penzi traaaaamu, traaaaaamu mpaka unashindwa kulielezea
Taaaamu unaishia kusema yum yum kama chocolate yum yum
Kama asali yum yum
Au kwako bado mpo season 10 ya magomvi, vikoba, marejesho na hali ngumu ya uchumi?
Taaaamu unaishia kusema yum yum kama chocolate yum yum
Kama asali yum yum
Au kwako bado mpo season 10 ya magomvi, vikoba, marejesho na hali ngumu ya uchumi?