Penzi lake taaaamu Penzi yum yum

Tupishe kidogo kalale
Jumatatu shule
Umenikumbusha zamani sana kuna mdogo wake Mshikaji wangu alitoka nje na mabox ya Paddy za kike anamaind kinoma We Dada Lea kumbe ni mchoyo yaani Mabox yote haya ya biskuti umekula peke yako
We sawaaa tuuu 🤣🤣🤣
 
Aisee
Kwahiyo penzi lenu likawa yum yum yum?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…