Penzi lako limefikia wapi mpaka Sasa!!

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
1.Utosini hadi Unyayoni.
2.Kichwani hadi kabla ya Matiti.
3. Matiti hadi Chini ya Kiuno.
4.Chini ya kiuno hadi Unyayoni.
Mwenye picha Anisaidie mi sio mchoraji.
Mi kwakweli Jamani nisiwe muongo hapo ndio kwanza no.2.
 
1.Utosini hadi Unyayoni.
2.Kichwani hadi kabla ya Matiti.
3. Matiti hadi Chini ya Kiuno.
4.Chini ya kiuno hadi Unyayoni.
Mwenye picha Anisaidie mi sio mchoraji.
Mi kwakweli Jamani nisiwe muongo hapo ndio kwanza no.2.
Tumefikia hapaπŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…