Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

@BLACK_HERMIT ushauri wako ni mzuri ila bahati mbaya wewe ni mwanaume, umefikiri ki uanaume, mwanamke huwa hatamani bali hupenda. Bahati mbaya sana moyo una nafasi moja tu ya kumpenda mtu. Huwezi peda wanaume wawili kwa wakati mmoja. Huyu dada atakuwa mtumwa kingono kwa mumewe. Kuanzia alivyoanza kumpenda serengeti tayari mmewe ndani unyumba hapati kwa ushirikiano unaotakiwa lazima ru huyu dada anafanya kumridhisha mume tu and not with sex feelings
 
Kuweni makini
Huyu ni agent
Ajenda yake ni kuwafanya baadhi ya vijana waichukie ndoa au waliopo kwenye ndoa watalikiane.
 
Asanteni Sana kwa ushauri wenu. Ila mmekuwa wakali Sana kwangu especially the other gender. Anyway kwa muda huu siko tayari kumuambia Kijana ukweli, maana am sure akijua ukweli atasitisha mahusiano na Mimi maana kwanza ni mtu ameshika dini, sioni Kama anaweza kukubali uhusiano wetu uendelee pindi akijua Mimi Ni mke wa mtu Tena ndoa ya kanisani. So hii acha iwe Siri yangu coz I am not ready to loose him now kabisa kabisa. Kwa Sasa wacha nibalance kote kwa mume na kwa kijana , uzuri mume Yuko mbali so hakuna shida, Tutaendelea tu kuwa na good time na Kijana and enjoy this sweet sweet life together. So I am a wife and I am a lover to Kijana for now. Mnaosema niachane na Kijana ukweli siwezi Ni gharama kubwa Sana and I am not ready at all at all.Labda aniache yeye. Asanteni
 
Ukivunja ndoa kwa sababu ya ngono, utafanyaje utakapofikia umri ambao hata hiyo ngono ukawa huiwezi tena? Utarudi kwa mumeo?
Siwezi kujitapa kuwa sijawahi kuchepuka, lakini kamwe siwezi kufikiria kuacha mke wangu eti kutokana na utamu wa mchepuko. Mchepuko nitakula kwa akili huku nikilinda ndoa yangu, na kama mchepuko akileta upuuzi wa kutaka kujiona bora kuliko mwenye nyumba, wa kuumia hapo ni mchepuko, namtosa mazima.
 
Sorry kidogo nje ya mada
Bora nzi wengi kuliko nzi mmoja mwenye kelele,kuna nzi ananisumbua toka usiku,nimejaribu kumpiga najikuta najipiga mwenyewe,najaribu kujikausha kama simsikii ndio anazidi anahama tu masikioni,ananikela sana
Ngoja niingie ndani ya mada
Mpaka hapa ninaoona kwanini wanaume tunakufa mapema na kuwaacha hawa viumbe wakiinjoy,Pia nimekwisha jua kwanini wanaume tunaitaji kuwa na wanawake wengi[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwa wanaume wenzangu ambao bado wanauwezo oweni sana sana hata 10 angalau ili kiume ke anapojichomoa unakuwa huna strees yaan we unaongeza kengine ni sawa na majani ya mwembe likidondoka moja hakidhuru mwembe
Hawa viumbe wanamaamuzi magumu sana kama kufungua nati kwa meno
Ushauri wangu kwako mdada kumbuka kulikuwa na risasi 7pale mwanza,
Pilj jaribu kumfikiria bwege wako uliemuacha akikulea wewe na watoto na kukuamini kupita kiasi mpaka uende kufanya kazi nje ya mji,kweli jamaa unamfanya bwege kwa kukupenda na kukuamini kiasi hicho??kumbuka mapenzi mapiya uchomoza kwa njia hiyo na hufifia kwa njia hiyo usidhani utapendwa wakati wote
Mapenzi ni kama uwa upendeza na kusinyaa bora ya penzi zuri ulilolizowea kuliko jipya usilolijua
Nenda kajaribu kuvunja nyumba yako pia uturejeshee mrwjesho baadae
NIMEKUDHARAU SANA
 
Nilichojifunza kupitia huu uzi na nyingine za aina hii ni kwamba watu wengi wanakuja kuomba ushauri wakiwa tayari na maamuzi/majibu yao so wengi huwa wanataka wasikie nani atasupport hivo yaan. Kumshauri mtu alie mapenzini ni kupoteza tu muda sababu maamuzi ya mwisho anayo mwenyewe.
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Olewa nae tu... Usiumize kichwa.. maisha ndio haya haya... Mmeo mpige kibuti..
 
Ni kweli
 
Unauhakika gani wa kuufikia huo umri
??
Unaijua kesho??
Maisha ni sasa
 
Ndio maana kuna watu wanawawekea wake zao tego kwa ajili ya ujinga kama huu!
 
Kasie pitia pande hizi uone tofauti za mahaba. wakati wewe ukibebika na babu wako, yeye anavurugwa na Serengeti boy
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
 
Asante na umekuwa wazi na kuhitimisha vizuri hauko tayari kumuacha kijana hata kwa gharama yoyote vivyo hivyo mume utaendelea kuwa naye only because yupo mbali ... je akiamua kuja mkoa ulipo itakuwaje? mpango wa kijana kukuoa upoje? je watoto uliowaua ni umri gani na ni yupi uliyemkubali kumtambulisha kwa kijana? je akisema anahitaji kumuona na kumhudumia utambanduaje kwa mume wako? Emoj
 

Wanasema huwezi kuwashauri watu wawili;
1. Mwanaume mwenye hela
2. Mwanamke aliye penzini
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
1. Wazee wa uchunguzi hii ni chai au la?
2. Wazee wa ndoa mnaona wake zenu wanachofanya.
 
Hakika tutafika mbinguni tukiwa tumechoka mno.... Hatuna ushauri mama as fsr as umeconclude kwa kusema humuachi kwa garama yoyote sasa nini kingine tutasema......
 
Hakika tutafika mbinguni tukiwa tumechoka mno.... Hatuna ushauri mama as fsr as umeconclude kwa kusema humuachi kwa garama yoyote sasa nini kingine tutasema......
Huyu hawezi sikia lolote penzi ndio jipya, asipobadilika atarudi tena kuomba ushauri kwa mara nyingine baada ya akili kumkaaa sawa ila kwa sasa aachwe hivyo hivyo.
 
Ushauri wangu kwako [mention]Emoj [/mention]
Jifunze kusimamia ukweli na ukweli utakuweka huru.
Kuna mambo kadhaa ambayo nafikiri bado hujafanya tathimi vizuri ambayo huwenda mbeleni.
1. Umeweza kudanganya pande zote mbili kwa mume wako na kwa kijana… huwezi ficha pande zote mbili…. Ukiamua kuwa unachepuka lazima ukubali kusema ukweli upande mmoja ili msaidiane kuficha ukweli upande wa pili. You can not blind both side ukafanikiwa…. Soon pande zote zitashutuka na utabakia kuchanganyikiwa. Take it from me…. Tafuta watu wanaochepuka wakuambie

2. Kuna mambo Mengi naona upungufu kwa kijana wako… labda kama hujasema hapa…
……Kama mpaka sasa kijana wa miaka 28 hajakuliiza hata mtoto yuko wapi na anaishi na nani hajataka kujua ndg zako na detailed historia yako basi huyu ni play boy na anakuinjoy tu au basi ni mtoto kama wewe na hawezi kuwa na vigezo vya kuwa baba na soon utaujua ukweli…

3. Una uhakika gani kwamba kijana hana mke na kaamua kuvua pete kama wewe ili akufaidi vizuri na kwa vile wote mmekutana barabarana na kwa kazi ambayo ni project sio ya kudumu anajua akihama na kublock au anabadilisha number na unakua umefutika hapo… by the ukiwa na kwa mume wako umeshapoteza trust unakua unatanga tanga tu…..

4. Acha kujitoa ufahamu maisha sio utamu wa sex tu… kuna siku utakua huwezi fanya kama unavyofanya then umeshaharibu msingi wako wa ndoa utaishia kuwa kichaaa…
Nikuambia ukweli your sex drive inaaza kushuka by the age of 35 ukija kufika 40 utakuja kuniambia

5. Ukiona mwanaume wa umri wa 28yrs unamwambia una mtoto nakubali kirahisi tu kwamba hakuna shida…. Labda kama ameshakutana na mengi ….
But kijana ambaye anapambana na maisha yake akutana na bint kwanza kamzidi umri pili ana mtoto… tatu hamjuani kivile na akubali kufunga ndoa …..
Nachelea kuamini kama uko na kijana au mtoto au play boy wa mjini ambao wanakwenda jimy na mazoezi ili wawaridhishe wake za watu

Tafakari chukua hatua……..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…