Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Mwanamke anaweza kukupenda kwa kitu kidogo tu. Kama the first day kuskia saut yake na kuvutiwa nae. Nakumbuka kuna she aliwahi kuniambia kuwa amevutiwa na mm the way i walk lol

Tunaendelea kukupa pole sister.
 
Nachomba kwa Mungu mapanga au kisu ndo iwe darasa kwako
Nitafarijuka nikisia umeuwawa na kisa wivu wa mapenzi

Nyie ndo mnaharibu mapenzi
 
Ukweli Mchungu......
 
Uliwahi ona wapi Mwanaume anaoa mama wa watoto wanne na yeye hana hata mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu mwanamke akiacha kutumia moyo akili zitamrudia alafu atajiona mjinga sanaa
Umeongea point kbs,
 
...Acha Ujinga. Rudi harak.a Njia Kuu. Umechepuka. Una Tamaa. Una Watoto Wanne
Wanne! Mchepuko unajua una Mtoto Mmoja!.
Tatizo ulolewa mdogo. Ulikuwa hujapevuka Akili. Miaka 32 una Watoto Wanne! Wamepishana Miaka mingapi mingapi??
 
Hakuna mwanamke mjinga kama wewe Dunia nzima, I swear
 
Mmepima ngoma lakini? Eti na wewe ni mama mwenye 4 kids. Poor you.
 
kuna mrejesho nini ashavuna ujuhaa aliopandaa
 
Achana na kijana mjali mumeo wa ndoa .

Kumbuka ulikotoka na pia ndoa yako ni muhimu kuliko hata kijana uliyekutana naye.

Ni ushauri tu Kama unaona wa maana ufuate..



Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Upendo ambao hauna msingi bora ila kuridhisha tu tamaa za mwili utakuwa mgumu usiosikia shauri la mtu, kipofu na usiozuilika. Heshima, kweli na kila uwezo bora wenye kuinua hali ya moyo huwekwa chini ya utumwa wa tamaa mbaya. Mtu ambaye amefungwa katika minyororo ya namna hii huku akipotewa na akili mara nyingi ni kiziwi asiyesikia sauti ya akili na dhamiri ya moyoni; majadiliano wala maombi hayawezi kumuongoza kuona ujinga wake.
Upendo ukiinuliwa au kukuzwa vema na kuachana na mambo ya ashiki na tamaa za mwili, huwa upendo mtakatifu nao hudhihirishwa katika maneno na matendo. Huna budi kuwa na wema na upendo mtakatifu tu usio na pupa au masumbufu; ufidhuli na tabia za kijinga zimepasa kulainishwa na neema ya Mungu, Familia yako ni kitu msingi kuliko chochote, utakosa vyote usije sema hatukukwambia maana ukijiandaa kulichafua anga kwa kulitemea mate jiandae kuchafuliwa na mate...!
 
Ukishaolewa ndio anakuja mwanaume mzuri kwa kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23] sasa kaa nae ukijamuona wa kawaida utajua tu hiyo ni tamaa ,umevamiwa na tamaa kubwa mno,unamuachaje mme wako na watoto wanne??utakuja waambiaje watoto wako?
Hizo ni tamaa tu za penzi jipya shosti umekaa na mumeo umemzoea unamuona kama kaka yako

Nakushauri usimuache mmeo na achana na huyo kijana utaharibikiwa
 
Mda wote unaompatia huyo mshikaji mmeo hajasanuka? Jamaa sio jasusi asee, kuishi na hii jinsia kuna kaujasusi flani kanahitajika.
Ila dawa yako wewe ule msumeno wa buchani na kiroba then upelekwe coco beach ukaliwe na samaki kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…