Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Mh huu sijui niseme . Upumbavu au Ukatili wa nafsi!!
We Mmama kama bado hadi leo ujapata "USHAURI" Rudia usome message yako mara3.majibu yote yamo ndani ya barua yako.
 
Well said
 
Wewe huna ndoa Takatifu umeinajisi hiyo ndoa. Takatifu unajua maana yake wewe?
Binafsi sioni Cha kukushauri kwani mwenyewe hujielewi;
Mara nataka nibaki na ndoa yangu. Ohooo nampenda huyu kijna sitaki kumpoteza.

Punde utavuna ulichopanda kwa umalaya wako.
 
 
Ninamhurumia sana mume wako kwa kuoa kahaba.....ukahaba/umalaya huwa haufichiki. Mungu alikupeleka huko mbali na mumeo ili siku moja mume wako atambue ulivyo na si yule mke wa kuigiza
 
Hii ni chai, lakini wanawake wajinga na wapumbavu wa aina hii pia wapo wengi tu huku kitaa, wanaotema big G kwa karanga za kuonjeshwa
Afu kwa ujinga huu et linaomba ushauri wakati limeshapata wazo tayari ya nin cha kufanya.
Ovyo kabisa wewe endelea tu Wala usigeuke nyuma tafuta na namba nyingine ya simu ili upunguze access ya mumeo kukupata uwe huru.
 
This was a wrong turn.
 
Mshika mawili moja humponyoka...
Ila hao wakijuana utaponyokwa na yote.

Kwa sasa wewe ni mjanja zaidi, muda haukawii kufika.
 
Wajinga kama hawa wpo wengi sana mtaani, sasa ulishazaa watoto wanne leo unataka ushauriwe kisa unaliwa na kijana mdogo huu ni upuuzi gani tena jameni. Sema sishangai cz personally nilishakutana na mjinga kama wewe ambaye ni mke wa mtu lakini anadanga kwenye mabar kama mtoto mdogo vile yeye ni kuomba pesa wanaume muda wote sijui kwanini hana heshima kwa mumewe na sijui anamdanganya vipi mume wake kwakweli. Vijana tutaendelea kuogopa ndoa mpaka mwisho kama utaratibu ndio huu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…