Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Nakataa
 
Nimejikuta kupata uvivu kusoma sasa mmbo vuruvuru kunguni kuikana ndoa huu ni undezi Nazi kangarubeta
 
Soma tena ulichoandika kwa nguvu. You will feel sorry for yourself
 
Nipe namba yake huyo kijana niongee naye kuwa nataka nimuachie mke...kumbe mke wangu ndio upuuzi unaofanya huko...
 
All.in all.ww ni mshenzi tu how come una msaliti mwenzako kisa tu sauti.?
 
Matendo yako hayakupeleki mbinguni, Ni kazi ya msalaba tu ndio tiketi.ikiwa Ni matendo yako Basi Ni kwamba unaidharau kazi ya msalaba.
Muheshimu mumeo usije ukasababisha ndoa kuvunjika na watoto waishi mbali na baba yao Kwa tamaa zako.
 
Shida iliyopo ni kwamba umezia taarifa kamili kuhusu wewe zimfikie huyo kijana na hii itaathiri moja kwa moja maamuzi ya huyo kijana na hata ndoa yako kwa sababu kadri muda unavyozidi kwenda pia madhara yanaongezeka pia. Kwa hiyo kitendo cha kudanganya ni dhambi ya kwanza mabayo imezaa uzinzi na inapelekea athari huko mbeleni. Ushauri wangu ni kwamba kuwa mtu mzima na mwambie kijana ukweli halafu yaishe maana mwisho wake utakwenda kupoteza amani ya moyo wako, ndoa na heshima kisa kuendekeza tamaa ya muda mfupi.
Tafakari na kisha uchukue maamuzi kama itakupendeza au chukua muda kwenda kuiangalia familia yako na uchague kati ya huyo kijana au familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…